NANI
NA NINI NI BABELI KUTOKA
KATIKA
USHUHUDA WA YESU
“Dini
zote za uwongo zina chanzo chake katika upotoshaji wa ukweli.” Signs of the
Times,
Aprili
29, 1897.
NI
NINI ISHARA YA BABELI KWA LEO?
1. Ishara ya kahaba
(Kanisa)--GC 382; 4SP 233.
2. Ishara ya mwanamke
najisi (Kanisa)--GC 381; 4SP 233.
3. Ishara ya Kanisa
lililoasi--COL 179; GC 381; 4SP 233; PP 167.
4. Ishara ya Kanisa
lolote ambalo linashikilia mafundisho ya Roma--GC 382; 4SP 233.
5. Ishara ya Kanisa
lolote ambalo linashikilia mapokeo ya Roma--GC 382; 4SP 233.
6. Ishara ya Makanisa
mbalimbali yanayoshikilia mafundisho ya uongo--Ev 365; RH 9-12-93.
7. Ishara ya
ulimwengu--YI 10-25-94; ST 12-29-90.
8. Ishara ya Makanisa
yale ambayo mwanzoni yalikuwa safi lakini yamekuwa potofu--GC 382; PP
167.
9. Ishara ya
madhehebu yale yanayoanguka kutoka kwa Mungu--Ev 365; TM 61; RH 9-12-93.
10. Ishara ya
madhehebu yale ambayo yanaanguka kutoka kwenye ukweli wote--Ev 365; TM 61; RH
9-12-93.
11. Ishara ya
Makanisa yanayopenda ulimwengu katika siku za mwisho--PP 124.
NI
MAJINA GANI MENGINE KWA AJILI YA BABELI ?
1. Ngome (jengo
lililofungwa) ya kila ndege mchafu mwenye kuchukiza--TDG 172; RH 11-08-56;
1MR 353 (angalia TM
265; RH 2-26-95).
2. Pango la
wanyanganyi--TDG 172; RH 11-08-56; 1MR 353.
3. Kahaba--TDG 172; RH
11-08-56; 1MR 353 (see 8T 250).
4. Maskani ya
mashetani--TDG 172; RH 11-08-56; 1MR 353.
5. Sinagogi la adui
(Shetani)--RH 3-16-97.
NI
SIFA GANI ZA BABELI ?
(KUMBUKA:
Kanisa SIYO lazima liwe na sifa hizi zote
Kabla
halijawa Babeli.)
1. Ngome (jengo lililojengwa)--TDG
172; RH 11-8-1956; 1MR 353.
2. Pango la
wanyang’anyi--TDG 172; RH 11-8-1956; 1MR 353.
3. Kahaba--NL 52; TDG
172; RH 11-8-1956; 1MR 353
4. Mamlaka
itesayo--TM 117; Ev 197; 7BC 980.
5. Nguvu ya uovu--YI
2-2-04.
6. Machukizo
ndani--4SP 357; ST 11-14-95; RH 4-15-90.
7. Hukubali ushauri
wa Shetani--ST 9-2-97.
8. Hukubali
mafundisho ya uongo--4SP 357; GC 536-37.
9. Hukubali
uzushi--4SP 357.
10. Hukubali
uongo--1MR 302, 361; 2SM 68.
11. Hukubali
mafundisho ya umizimu--GC 603; 4SP 422.
12. Huwashtaki wasio
na hatia kuwa na makosa--RH 5-3-92.
13. Huwashtaki watu
wa Mungu kwa aina zote za makosa ya jinai--TM 37; RH 8-22-93.
14. Humkiri Yesu
lakini hatimaye humsaliti--BE 2-1-97; RH 3-16-97.
15. Huwasumbua wale
wasiomtumikia Mungu kulingana na mipango yake--YI 11-22-94.
16. Hukubaliana kwa
karibu pamoja na ulimwengu--4SP 239; GC 390.
17. Hushikamana
pamoja na Makafiri [Mataifa]--GC 382; NL 52.
18. Humruhusu Shetani
kufanya kazi kupitia kwao--YI 2-2-04.
19. Hutamanishwa kwa
misukumo ya binafsi--MYP 242; YI 7-9-03.
20. Mamlaka
iliyoasi--GC 59.
21. Hubatilisha
sheria ya Mungu--ST 11-14-95.
22. Mpinga
Ukristo--14MR 95.
23. Huasi dhidi ya
Mungu--ST 11-14-95.
24. Uasi ndani--PP
167; BE 2-1-97; RH 3-16-97.
25. Huwatukuza watu
kama miungu--RH 2-1-81.
26. Huweka utukufu wa
ufalme kwa mafanikio ya mwanadamu --PK 501; CC 250.
27. Huweka heshima ya
ufalme kwa mafanikio ya mwanadamu--RH 2-6-1900.
28. Huweka ufanisi
juu ya mafanikio ya mwanadamu--YI 9-22-03; 4BC 1168.
29. Madai huchukuliwa
kama ukweli--BE 2-1-97; RH 3-16-97.
30. Huvutia katika
kujinufaisha binafsi--18MR 260.
31. Uovu wa kutisha
ndani unafunikwa kwa kukiri dini--GC 603.
32. Huwa na hasira
wakati utashi usipopewa utii--ST 4-29-97.
33. Hupotoka kwa
kutafuta kuungwa mkono na mamlaka za ulimwengu--NL 52.
34. Hujazwa na hasira
pindi mamlaka yakipingwa--GC 607.
35. Huamini uongo--GC
390; Mar 173; 4SP 239.
36. Huamini
uzushi--GC 536.
37. Hawaamini
ukweli--4SP 239; GC 390; Mar 173.
38. Humkufuru Mungu
wa mbinguni--13MR 66; YI 12-13-04.
39. Hufanya amri za
Mungu kudharauliwa--GC 237.
40. Hujenga maskani
makubwa na yanayofika juu--COL 259.
41. Hujenga majengo
ya fahari sana--Ed 54.
42. Hujenga sana--PK
515.
43. Huunda Kanuni--PP
124.
44. Huondoa maamuzi
ya Mungu--UL 35.
45. Huteka mataifa
yote yanayowazunguka--PK 443.
46. Mioyo yenye tamaa
za mwili--GC 603.
47. Huonyesha dhihaka
kwa wafuasi wa Mungu--1SG 153.
48. Husababisha kilio
kwa watu wa Mungu--COL 179.
49. Husababisha watu
wa Mungu kumwaga machozi--COL 179.
50. Husababisha dhiki
kuu kwa watu wa Mungu--TM 37; RH 8-22-93.
51. Husababisha
maumivu kwa miili ya watu wa Mungu--COL 179.
52. Husababisha
maumivu kwa roho za watu wa Mungu--COL 179.
53. Husababisha
mwendelezo wa kutupilia mbali kanuni za pekee za Mungu--GC 65.
54. Desturi za ibada
huabudiwa badala ya Kristo--GCDB 3-7-99.
55. Mamlaka ya
serikali hulazimisha taratibu za kidini--Ev 43; 4SP 424; GC 606.
56. Hudai kuwa
bikira--Ed 176.
57. Hudai kuwa
Wakristo--COL 179.
58. Huamuru utii kwa
utashi wa mwanadamu--SL 37.
59. Huamuru kuwaabudu
watu badala ya Mungu--2SM 312.
60. Hufanya uasherati
kiroho--14MR 159.
61. Hulazimisha
dhamiri--RH 4-15-90.
62. Hulazimisha
utii--7BC 976; ST 5-6-97.
63. Hulazimisha kutii
sheria za wanadamu badala ya sheria za Mungu--ST 9-2-97.
64. Hufanya
makubaliano ya imani za kidini--16MR 336.
65. Hufanya
makubaliano pamoja na njia za Shetani--YI 10-25-94.
66. Husitiri uovu wa
kutisha chini ya vazi la dini ya kujionyesha--GC 603.
67. Hufanya mapatano
pamoja na wafalme na watu wakuu wa nchi--TDG 172; RH 11-8-1956; 1MR
353.
68. Hufanana sawa na
roho ya ulimwengu--GC 389.
69. Huchanganya njia
za Mungu kwa mavumbuzi ya mwanadamu--ST 5-13-97.
70. Machafuko--2SG
289; RH 9-19-54; 3-28-93; 4SP 232; GC 383; CG 540.
71. Machafuko
hutawala ndani yake--3SM 257.
72. Imeshikamana
pamoja na wanyama--RH 4-30-89.
73. Imeshikamana
pamoja na hesabu ya 666--PK 506.
74. Hushikamana
pamoja na watu wakuu wa nchi--GC 388.
75. Huona kuwa ni
furaha kutesa watu wa Mungu--CC 251.
76. Huona kuwa ni
furaha kuhuzunisha watu wa Mungu--CC 251.
77. Huwapeleka watu
wa Mungu uhamishoni--COL 179.
78. Huwatia watu wa
Mungu katika mauti--COL 179.
79. Huwatoa watu wa
Mungu kwenda kifungoni--COL 179.
80. Huvutwa katika
mwegemeo--YI 10-25-94.
81. Hutawaliwa na
tamaa isiyo takatifu--YI 11-27-94.
82. Uovu ndani--EW
277; FLB 335; GC 603.
83. Huwanajisi
wengine kwa mafundisho ya uongo--GC 388.
84. Hubadilisha
ukweli pamoja na uongo--BE 2-1-97; RH 3-16-97.
85. Hutamani mke wa
jirani--TSB 188.
86. Hupinga mausia ya
amri kumi za Mungu--ST 11-14-95.
87. Mkandamizaji
katili--Ed 176.
88. Huwakandamiza
kikatili ndugu zao--EW 275; 1SG 192.
89. Huondoa
utauwa--18MR 260.
90. Mioyo ya giza--GC
603.
91. Giza ndani--MB
41.
92. Uovu wa
kudanganya ndani--7BC 983.
93. Hupungua katika
utakatifu--Mar 171.
94. Humdhihaki
Mungu--Series A#1b, ukr. 16; 2MR 228; 3SM 406; YI 12-13-04; 13MR 66.
95. Hudhihaki maonyo
ya Mungu--4SP 421; GC 603.
96. Huwalaghai
maskini--COL 178.
97. Hutaka mambo
yasiyowezekana kwa watu kufanya--YI 11-27-94.
98. Hushutumu ujumbe
wa Ufunuo 18 kama wa Shetani--GC 607; 4SP 424.
99. Hushutumu
mafundisho ya kweli kama uzushi--4SP 235; GC 389.
100. Hushutumu ukweli
kama ujumbe wa Shetani--GC 607.
101. Huondoka kutoka
kwa Mungu--NL 52; GC 239.
102. Huondoka kutoka
katika sheria za Mungu--ST 11-14-95.
103. Huondoka kwa
upana kutoka katika ukweli--4SP 239.
104. Upotovu
ndani--RH 1-2-79.
105. Huwanyima watu
nuru ya neno la Mungu--PK 714.
106. Huwadhihaki
wafuasi wa Mungu--1SG 153.
107. Huwadhihaki wale
wanaofanya kazi aliyoipanga Mungu--COL 179.
108. Huwadhihaki wale
walio katikati yao ambao wanashikilia ukweli wa Mungu--1SG 146.
109. Hutafuta kufanya
urafiki na wasio watauwa--GC 382.
110. Hutamani
kuimarisha nguvu zao wenyewe--PK 505.
111. Hutafuta
kuimarisha ukuu wake yenyewe--PK 505.
112. Hutamani kuiga
mazoea ya wasio watauwa--GC 382.
113. Hupanga
kuwaongoza wote kuabudu sanamu ya ubinafsi--ST 4-29-97.
114. Humtukana
Mungu--RH 4-15-90.
115. Hutukana maonyo
kutoka kwa Mungu--4BC 1158; RH 3-14-07.
116. Huharibu wale
ambao hawamtumikii Mungu kulingana na mipango yao--YI 11-22-94.
117. Hutumia muda
mwingi kwa kunung’unika--4MR 125.
118. Kutokuwa na
utaratibu ndani yake--3SM 257; 2SG 289; RH 9-19-54; 3-28-93.
119. Kutozingatia
neno la Mungu--YI 5-14-03.
120. Kutotilia
maanani matengenezo ya afya--SD 174.
121. Hudharau nuru
iliyotumwa kutoka mbinguni--11MR 99.
122. Hudharau
Sabato--7BC 979.
123. Hupotosha neno
la Mungu--BE 2-1-97; RH 3-16-97.
124. Kukosa umoja
kati yao wenyewe--PP 124.
125. Hugawanya neno
la Mungu--BE 2-1-97; RH 3-16-97.
126. Wametalikiwa
kutoka kwa Mungu--14MR 159.
127. Mafundisho ya
mashetani ndani yake--4SP 422.
128. Hawaachi dhambi
kwa haki--YI 11-9-93.
129. Hawatubu
dhambi--RH 2-6-1900.
130. Hawatimizi
makusudi ya Mungu--YI 9-29-03; PK 535.
131. Hawaimbi sifa za
Mungu--RH 6-18-89.
132. Hawashikilii
ukweli--2SM 63.
133. Hawana Kristo
kama kiini chao--BTS 12-01-12.
134. Hawana Kristo
kama msingi wao--PK 548.
135. Hawana Mungu
(kanuni zake, makusudi, na tabia) kama msingi wao--Ed 183; FLB 345.
136. Hawana uwepo wa
Mungu ndani yao--CG 540.
137. Hawana nuru ya
kinara katikati yao (kinara kimeondolewa)--PK 430-31.
138. Hawana umoja
ambao Kristo aliuomba--4SP 233.
139. Hawana sauti ya
bi-harusi (Kanisa la kweli) katikati yao tena--PK 430-31.
140. Hawana sauti ya
Bwana harusi katikati yao tena--PK 430-31.
141. Hawafuati ujumbe
uliotumwa kutoka mbinguni--RH 9-8-96.
142. Hawafuati maonyo
kutoka kwa Mungu--RH 6-9-91.
143. Hawanyenyekezi
moyo--RH 2-6-1900.
144. Hawatunzi amri
za Mungu--2SM 68.
145. Hawalindi kanuni
za Mungu bila kunajisiwa kutoka katika mivuto ya mataifa mengine--YI 5-4-03.
146. Hawafuati
maelekezo ya Mungu--11MR 99.
147. Hawafaidiki na
maonyo kutoka kwa Mungu--YI 3-28-05.
148. Hawapokei
maelekezo ya Mungu--11MR 99.
149. Hawapokei nuru
ya ujumbe wa malaika wa kwanza--1SG 140.
150. Hawapokei ujumbe
wa maonyo uliotolewa katika ujumbe wa malaika wa kwanza, wa pili, na wa
tatu--2SM 68.
151. Hawajihesabu
wenyewe kama wanaomtegemea Mungu--YI 9-29-03.
152. Hawakumbuki
maonyo--PK 533.
153. Hawaonyeshi
rehema kwa maskini--YI 11-9-93.
154. Hawasalimishi
damu za watakatifu--14MR 288.
155. Hawatilii
maanani maonyo--PK 533.
156. Hawaelewi ni
nini humaanisha uhuru wa dini--ST 5-13-97.
157. Hufanya vitu
hasa ambavyo Mungu aliamuru kutofanywa--8T 126.
158. Hunywa kileo
kikali--YI 10-25-94; SD 174.
159. Ulevi na
ulafi--3T 162; CD 147.
160. Hukaa
kizembe--PK 534.
161. Hula vyakula vya
anasa kama chakula--SD 174; YI 10-25-94.
162. Huboresha ishara
za nguvu--7BC 983.
163. Huweka sheria
kutawala dhamiri--3SM 392; 7BC 949.
164. Hupanga kwa
hadaa kuwaongoza wengine katika makosa--YI 9-6-1900; 4MR 127.
165. Maadui wa
Mungu--21MR 284.
166. Maadui wa
ukweli--21MR 284.
167. Hulazimisha
ibada ya sanamu--5T 453; RH 12-11-88.
168. Hujishughulisha
na kalamu--ST 12-29-90.
169. Hujishughulisha
na kula na ulevi--ST 12-29-90.
170. Hujishughulisha
na shamra shamra za kiulimwengu--SD 174; YI 10-25-94.
171. Huhadaa ili
kuingia katika kujitukuza binafsi--RH 5-7-89.
172. Imezama katika
ugumu wa kutoamini--GC 603.
173. Wivu--OHC 357;
RH 5-3-92.
174. Makosa yanaruhusiwa
kuchukua nafasi ya ukweli--21MR 284.
175. Uovu ndani
yake--4SP 236.
176. Huinua dini ya
uongo--ST 5-6-97.
177. Huinua sababto
ya uongo juu ya Sabato ya kweli--2SM 68.
178. Huinua siku ya
kwanza juu ya Sabato--Ev 365; TM 61; RH 9-12-93.
179. Huinua hekima ya
mwanadamu juu ya hekima ya Mungu--PP 124.
180. Humwinua
mwanadamu juu ya Mungu--Series A#1b, ukr. 16; 2MR 228; RH 4-15-90.
181. Huinua utukufu
wake yenyewe--RH 2-1-81.
182. Huinua hukumu
yake yenyewe kama ya maana zaidi--Series B#7, ukr. 20.
183. Huinua njia zake
yenyewe kama kuu--Series B#7, ukr. 20.
184. Huinua
ubinafsi--YI 2-2-04.
185. Huinua sabato ya
uongo juu ya Sabato ya kweli--2SM 68.
186. Huamsha kwa
ghafla uadui dhidi ya wafuasi wa Mungu--ST 9-2-97.
187. Hudhihirisha
sifa za kishetani kitabia--ST 5-13-97.
188. Hueleza mashauri
ya mashetani--2MR 209.
189. Hufafanua
mafundisho ya mashetani--2MR 209.
190. Hueleza mivuto
ya mashetani--2MR 209.
191. Kuandamanisha
mambo ya nje--7BC 980; 14MR 152.
192. Huhimidi
ubinafsi--RH 4-30-89.
193. Walishindwa
kutimiza kusudi la Mungu kwa ajili yao--YI 5-14-03.
194. Hushindwa
kufanya sehemu kubwa ya nuru ya sasa--ST 7-27-91.
195. Hushindwa
kutumia fursa nyingi zilizopo kujua ukweli--ST 7-27-91.
196. Husahau
kukumbuka Nguvu ambayo kwanza iliwainua--Ed 175.
197. Imani
imepotoshwa--GC 388.
198. Huanguka
ghafla--PK 552.
199. Hugeuza kwa
uongo maneno ya maonyo--19MR 122.
200. Huogopa
kuwakwaza watu wakuu--YI 10-25-94.
201. Huogopa
kuwakwaza waheshimiwa wa ulimwengu--SD 174.
202. Huogopa
kuwakwaza matajiri--YI 10-25-94; SD 174.
203. Kwanza hujaribu
kuvutia (muziki na kujionyesha kwa nje) ili kusababisha kutomtii Mungu--ST 9-
2-97.
204. Hufuata desturi
za ulimwengu--YI 10-25-94.
205. Hufuata
mavumbuzi ya mwanadamu--13MR 61.
206. Hufuata mambo ya
kufikirika ya moyo wa asili--YI 10-11-04.
207. Hufuata maoni ya
wanadamu--ST 11-14-95.
208. Hufuata
mipangilio yao wenyewe--1888 Materials, ukr. 1397.
209. Hufuata
misisimko yao wenyewe--1888 Materials, ukr. 1397.
210. Imepumbazwa--PK
522, 530.
211. Hukataza kumwabudu
mungu yeyote isipokuwa mwanadamu--RH 12-11-88.
212. Hukataza
kuhubiri juu ya kuja haraka kwa Kristo--1SG 153.
213. Nguvu inatumiwa
kama hatua ya mwisho kusababisha kutokuwa na utii kwa Mungu--ST 9-2-97.
214. Huwalazimisha
watu kukubali sabato ya uongo--8T 94.
215. Humsahau
Mungu--YI 11-9-93; 4BC 1168.
216. Husahau kwamba
uwezo wote unatoka kwa Mungu--RH 6-9-91.
217. Hufanya
makubaliano na uovu--LDE 136.
218. Hufanya
makubaliano kumwinua mwanadamu mahali pa Mungu--ST 9-2-97.
219. Huunda sheria
ambazo moja kwa moja hupinga sheria za Mungu--ST 5-13-97.
220. Hufanya mipango
kuwafanya watu wa Mungu wajiunge katika ibada ya sanamu--YI 4-7-08.
221. Huhamasisha
ukahaba ndani ya wengine--GC 382; 4SP 233.
222. Huhamasisha
mafundisho yenye sumu--Ev 365; TM 61; RH 9-12-93; NL 52.
223. Utapeli--2MR
209; 3SM 429.
224. Urafiki pamoja
na ulimwengu--4SP 235.
225. Imejawa na
machukizo--7BC 983; GC 537.
226. Imejawa na
mivuto ya hadaa--BE 1-15-93.
227. Imejawa
machafuko kwa sababu ya mvinyo--ST 11-14-95.
228. Imejawa na
mapotofu--1SG 193; TMK 247.
229. Imejawa na
desturi ambazo haziendani na utaratibu wa Mungu--BE 1-15-93.
230. Imejawa na imani
potofu--7BC 983.
231. Imejawa na
manabii wa uongo--RH 3-14-07.
232. Imejawa na
mazoea ambayo hayaendani na utaratibu wa Mungu--BE 1-15-93.
233. Imejawa na
vitabu vya ibada ya sanamu--BE 7-2-1900; GCB 4-2-01.
234. Imejawa na
mazoea ya ibada ya sanamu--BE 7-2-1900; GCB 4-2-01.
235. Imejawa na
mivuto ya kuharibu fikra--BE 1-15-93.
236. Imejawa na
mivuto ya kupotosha mambo ya kiroho--BE 1-15-93.
237. Imejawa
anasa--BE 1-15-93.
238. Imejawa na
vinavyoonekana ambavyo huhadaa kuelekea kwenye vishawishi--TMK 247.
239. Imejawa na
dhambi--GC 606; Ev 700.
240. Imejawa na sauti
ambazo huhadaa katika majaribu--TMK 247.
241. Imejawa majaribu
ya kudhoofisha fikra--BE 1-15-93.
242. Imejawa na
majaribu ili kupotosha mambo ya kiroho--BE 1-15-93.
243. Imejawa na
majaribu ndani yake--BE 1-15-93; YI 10-5-99.
244. Imejawa na vitu
vya kupima--BE 1-15-93.
245. Hasira
inadhihirishwa dhidi ya wale wanaodhihaki amri [zake]--ST 9-2-97.
246. Hukusanya pamoja
hazina kwa ajili ya ubinafsi mzuri--COL 259.
247. Huwadaka wengine
kutenda kinyume na shauri la Mungu--PK 442.
248. Huwachukua
wengine kupunguza maneno ya unabii wa kweli--PK 442.
249. Wamejitoa kwa
ulafi--YI 8-17-99; CD 147; 3T 162.
250. Wamejitoa kwa
ibada ya sanamu--UL 83.
251. Wamejitoa kwa
mizaha--PK 523.
252. Wamejitoa kwa
kutafuta anasa--PK 534; RH 4-30-89.
253. Wamejitoa kwa
ulevi--PK 523.
254. Wamejitoa kwa
maisha ya anasa--YI 10-11-04.
255. Wamejitoa kwa
maisha ya kujitukuza binafsi--YI 10-11-04.
256. Hutoa usikivu
zaidi kwa mambo ambayo husisimua masikio--ST 7-27-91.
257. Hutoa usikivu
zaidi kwa mambo ambayo yanashibisha radha ya mdomo--ST 7-27-91.
258. Hutoa usikivu
zaidi kwa mambo ambayo yanafurahisha jicho--ST 7-27-91.
259. Hutoa sifa kwa
watu--RH 6-9-91.
260. Hujitukuza
katika nguvu--PK 522.
261. Hujitukuza
katika mafanikio--RH 4-30-89.
262. Hutukuza
ubinafsi--RH 4-30-89, 6-18-89.
263. Huenda katika
nguvu zao wenyewe bila kujali maonyo--RH 2-6-1900.
264. Hujionyesha kwa
kuvutia--7BC 983.
265. Hushibisha hamu
ya chakula--RH 5-7-89.
266. Hushibisha
tamaa--RH 5-7-89.
267. Hujionyesha sana
kwa nje--7BC 983.
268. Hali za kiroho
zisizovutia ndani yake--4T 13.
269. Makao ya mashetani--TDG
172; RH 11-8-1956; 1MR 353.
270. Huwatesa watu wa
Mungu--TM 37; RH 8-22-93.
271. Mateso kwa wale
wote ambao hawawatii--7BC 983.
272. Wana nguvu ya
usihiri--ST 11-14-95.
273. Wana Kanuni--GC
383.
274. Wana mfano wa
utauwa--EW 273.
275. Wana moyo wa
majivuno--RH 4-30-89.
276. Wana ibada mbaya
sana ya sanamu ndani--TMK 247.
277. Wamekuwa katika
uasi kwa miaka mingi--GC 65.
278. Wamekuwa gizani
kwa miaka--GC 65.
279. Wana tamaa ya
makuu isiyo na mipaka--5T 752.
280. Huitaka mamlaka
ya kiserikali kulazimisha kufuata mambo yake--GC 606; Ev 700.
281. Wana imani
iliyopotoka--4SP 235.
282. Wana upotofu
ndani yake--YI 10-25-94; PP 167.
283. Wana mafundisho
ya mashetani ndani yake--GC 604.
284. Wana miungu ya
uongo--YI 10-29-07.
285. Wana wachungaji
wa uongo ndani yake--LDE 248.
286. Wana walimu wa
uongo ndani yake--PK 442.
287. Wana malango ya
shaba--PK 523.
288. Wana ukweli mkuu
waliopewa na Mungu lakini hawaufuati--FCE 411.
289. Ina mambo kidogo
ya kiroho--4SP 232.
290. Ina nyua za
anasa--MYP 242; Ed 54.
291. Ina kuta
kubwa--PK 523.
292. Ina wachawi
wengi--PK 534.
293. Haina utauwa wa
kweli--EW 273.
294. Ina nguvu za
kipapa ndani yake--Ev 43; GC 606; 4SP 424.
295. Ina furaha
katika mambo yasiyo ya haki--4SP 239; GC 390; Mar 173.
296. Ina mashule kwa
ajili ya kuelimisha katika njia za Babeli--MYP 147.
297. Ina roho
zidanganyazo ndani yake--GC 603.
298. Huwachukia wale
ambao wanaamini ukweli usionajisiwa--4SP 70.
299. Huwachukia wale
ambao wanaondoka kutoka katika uovu--ST 5-13-97.
300. Makao makuu
yamepewa mvuto ili kuyafanya mazuri na ya kuvutia--PK 515.
301. Moyo mgumu kama
chuma cha pua--ST 5-13-97.
302. Moyo umeinuka
kinyume cha Mungu--PK 522.
303. Mioyo imepoteza
mivuto ya Roho Mtakatifu--13MR 62.
304. Mioyo
haijabadilishwa kikamilifu na neema ya Mungu--13MR 62.
305. Wachungaji wake
ni mbwa mwitu kati ya kondoo--GC 237.
306. Uzushi
unahubiriwa kutoka katika mimbari--GC 390.
307. Huzuia makusudi
ya Mungu--YI 2-2-04.
308. Huwashikilia
watu wa Mungu na Kanisa katika kifungo--PK 714.
309. Huwashikilia
watu wa Mungu na Kanisa mateka--PK 714-15.
310. Huwashikilia
wanadamu katika utumwa--EW 275.
311. Huwashikilia
watu katika utumwa--1SG 192.
312. Hung’ang’ania
giza--PK 714.
313. Hushikilia
mafundisho ya makahaba wengine (Roma)--GC 382; 4SP 233.
314. Hushikilia
makosa--PK 714.
315. Hushikilia
mafundisho ya uongo--Ev 365; TM 61; RH 9-12-93.
316. Hushikilia imani
za uchawi--PK 714.
317. Hushikilia
mapokeo ya makahaba wengine (Roma)--GC 382; 4SP 233.
318. Huheshimu
nadharia za watu juu ya neno la Mungu--BE 2-1-97; RH 3-16-97.
319. Huheshimu mawazo
ya watu juu ya neno Mungu--BE 2-1-97; RH 3-16-97.
320. Huheshimu
ubinafsi--YI 11-9-93.
321. Huumiza wale
ambao ni wapenzi wa Mungu--ST 5-13-97.
322. Hujitapa kwa
unafiki--RH 1-2-79.
323. Sura ya Kristo
haiko ndani--4SP 239.
324. Wako huru kutoka
kwa Mungu--CC 250; PK 501.
325. Kukosa tofauti
kulikodhihirishwa kwa mambo ya nyuma--PK 523.
326. Kukosa tofauti
kwa kweli za kupima kutoka wakati huu--GC 389.
327. Huendekeza hamu
ya chakula--TSDF 155; YI 10-25-94; RH 5-7-89; BE 1-15-93; CD 147.
328. Huendekeza
mashtaka ya uongo--COL 179.
329. Huendekeza
furaha--ST 12-29-90.
330. Huendekeza
mazoea ambayo huleta udhaifu kwa nguvu za kimwili--YI 10-25-94.
331. Huendekeza chuki
ya kishetani--COL 178.
332. Huendekeza tamaa--CD
147; TSDF 155.
333. Huendekeza
ubinafsi--BE 4-25-98; YI 5-19-98.
334. Wasioamini--GC
603.
335. Husababisha
mateso makali yasiyo ya kibinadamu--EW 275.
336. Mvuto wa malaika
waovu ndani--GC 604; 4SP 422.
337. Uovu unakaa
ndani yake--2MR 209.
338. Tamaa kubwa
zisizo za kawaida--13MR 63.
339. Watafutaji wa
ukweli huelekezwa kwa makosa--4SP 235; GC 389.
340. Huingilia
mahitaji ya Mungu kwa ajili ya watu wake--GC 237.
341. Kutokuwa na
uvumilivu kulidhihirishwa dhidi ya wale ambao wanatafuta kutembea katika
ukweli-
-ST 5-13-97.
342. Upotofu wa
ndani--7BC 983.
343. Ni dini ya
uongo--GC 381; 4SP 232.
344. Ni mshindani
mkuu kivita--HS 210.
345. Ni kahaba--GC
382; 4SP 233.
346. Ni watu
wakaidi--PK 444.
347. Ni mwonezi--RH
2-1-81.
348. Ni mjane lakini
hasemi hivyo--PK 534.
349. Ni mwanamke
(Kanisa)--GC 381-82; 4SP 233; Mar 189.
350. Ni mwanamke
kahaba (Kanisa)--4SP 233; GC 381.
351. Iko kinyume na
uhuru wa kidini--LDE 136.
352. Ni dini
iliyoasi--4SP 232; GC 381.
353. Ni mwanamke
aliyeasi (Kanisa)--GC 381; 4SP 233.
354. Ni waasi--4SP
63, 70; COL 179; GC 65.
355. Inajiona
bora--PK 532.
356. Ni wakali--YI
10-11-04.
357. Ni vipofu--RH
2-8-81.
358. Wana
majigambo--ST 9-14-88.
359.
Wamechanganyikiwa--GC 381.
360. Imepotoka--Ed
54; GC 382; 4SP 232; TSB 188; UL 83; 7BC 983; YI 5-21-03; 4MR 125.
361. Ina tamaa--Ed
176; ST 10-1-02.
362. Ni dikteta--GC
382; 4BC 1169.
363. Ni wakatili--YI
12-13-04.
364. Wana moyo
mgumu--1SG 192.
365. Wana haraka
katika maamuzi--YI 10-11-04.
366. Wanajiona kuwa
ni bora zaidi ya wengine--BE 4-25-98; YI 5-19-98.
367. Ni waabudu
sanamu--FCE 412; 4BC 1169.
368. Ni najisi--AH
464.
369. Wanafuata
tamaa--ST 7-27-91.
370. Hawana kiasi--AH
464; TMK 247.
371. Wamelewa--ST
9-14-88.
372. Huangaliwa kama
mungu--PK 534.
373. Haimtegemei
Mungu--BTS 12-01-12.
374. Haina
unyenyekevu--RH 4-30-89.
375. Hakuna furaha
katika utawala wake wa kimabavu--13MR 66.
376. Mahusiano yaliyo
ya jinsia moja--PK 534.
377. Hakuna
huruma--RH 4-15-90.
378. Ina majivuno--RH
2-1-81, 7-19-87; MLT 256; AG 44; ST 2-12-80; Ed 176; PK 515; 4BC 1169.
379. Ina tamaa za
binafsi--RH 5-7-89.
380. Ina ubinafsi--ST
7-27-91.
381. Imejitenga
kutoka kwa Mungu--PK 501; 19MR 122.
382. Ni wakaidi--4SP
421; GC 603.
383. Ni waonevu--13MR
66; YI 12-13-04.
384.Haina haki--7BC
983.
385. Ina ufahamu
mzuri juu ya tabia ya Mungu--ST 5-6-97.
386. Inafahamu vema
njia za Mungu--ST 5-6-97.
387. Ni waovu--1MR
361; FCE 412.
388. Mfumo wake wa
ibada ni upotoshaji wa mfumo wa Mungu--DA 28.
389. Watu wake wenye
hekima wanapungua mara kumi kuliko wale walio karibu na Mungu--FCE
373-74.
390. Wivu--YI
9-6-1900; 4MR 127.
391. Wenye wivu--SL
42.
392. Huua kwa upanga
(mafundisho)--PK 459.
393. Wanajua ni nini
iliyo tabia ya Mungu lakini hawaiaksi--CC 252.
394. Huweka mitego
kudanganya watu wa Mungu--YI 9-6-1900; 4MR 127.
395. Huweka hazina
kwa ajili ya nafsi zao--COL 258-59.
396. Huongoza wengine
kufuata njia ya Shetani badala ya ile ya Kristo--ST 11-14-95.
397. Huongoza wengine
kukanyaga kwa miguu Sabato ya Mungu--TM 61; RH 9-12-93.
398. Huongoza katika
kuendekeza tamaa--18MR 260.
399. Huacha kanuni
katika dini--SD 174.
400. Wameachwa
kupokea madanganyifu makubwa--GC 390; Mar 173.
401. Zinaa imejaa
ndani yake--4BC 1167; SD 174; YI 8-18-98, 10-29-07; TSB 188.
402. Maisha
hutawaliwa na mazingira--SD 174.
403. Huinua moyo
dhidi ya Mungu--RH 4-30-89.
404. Huinua ubinafsi
dhidi ya Mungu--ST 9-14-88.
405. Huishi kwa ajili
yao wenyewe--YI 5-14-03.
406. Upotevu wa
kufikiri--RH 4-30-89.
407. Kupenda
anasa--PK 523.
408. Wapenzi wa anasa
zaidi kuliko kumpenda Mungu--GC 390.
409. Maajabu yadanganyayo
ndani yake--Series A#1b, ukr. 17; 2MR 228.
410. Imejengwa na
watu waovu na wenye haki--RH 3-21-07.
411. Wenda wazimu
ndani yake--PK 530.
412. Huwatukuzu
wanadamu--13MR 61.
413. Hutoa maamuzi
dhidi ya sheria za Mungu--RH 2-1-81.
414. Huwafanya watu
wa Mungu waonekane wa pekee--YI 10-5-99.
415. Hulifanya neno
la Mungu kutokuwa na maana--LDE 248.
416. Hufanya
maongezeo makuu kwa mji--YI 10-11-04.
417. Hufanya mapambo
makuu ya nje--GC 382.
418. Hufanya amri
kali--FCE 374.
419. Hufanya sheria
zinazopingana na sheria za Mungu--PT 11-4-86.
420. Hutoa amri ya
kukamilisha jambo--PK 714.
421. Hufanya maneno
ya maonyo kuwa si kitu--19MR 122.
422. Huwafanya
wengine kulewa kwa mvinyo (mafundisho ya uongo)--TDG 172; RH 11-8-1956; 1MR
353.
423. Huwafanya
watumishi wa wengine--PK 441.
424. Huchezea mambo
matakatifu--BE 4-25-98; YI 5-19-98.
425. Huifanya nuru ya
mbinguni kusaidia katika kujiinua nafsi--ST 4-29-97.
426. Huifanya nuru ya
mbinguni kutumikia majivuno yao--ST 4-29-97.
427. Hufanya ukweli
wa Mungu kuwa si kitu--BE 2-1-97; RH 3-16-97.
428. Hufanya mambo ya
furaha kinyume cha Mungu--ST 9-14-88.
429. Hudhihirisha
moyo wa majivuno--YI 11-9-93.
430. Hudhihirisha
majivuno--YI 2-2-04; ST 4-29-97; PK 522; 13MR 66.
431. Hudhihirisha
tamaa za kishetani--2MR 209.
432. Hudhihirisha
majivuno ya ubinafsi--PK 504.
433. Hudhihirisha
tabia ya uovu--7BC 980.
434. Wachungaji
hujazwa na hasira kadiri ambavyo mamlaka yao yanahojiwa--GC 607; 4SP 424.
435. Wachungaji
huleta hekaya za wanyama--GC 607; 4SP 424.
436. Wachungaji
hutabiri mambo laini--GC 607; 4SP 424.
437. Wachungaji
hujaribu kunyamazisha dhamiri za watu zilizoamshwa kwa ukweli--GC 607; 4SP
424.
438. Wachungaji
hujaribu kupoza hofu za watu kwa ukweli halisi--GC 607; 4SP 424.
439. Vicheko ndani yake--RH
2-8-81.
440. Hutumia vibaya
kweli za Mungu--ST 5-13-97.
441. Hutumia isivyo
Maandiko Matakatifu--BE 2-1-97; RH 3-16-97.
442. Hutumia visivyo
maneno ya maonyo--19MR 122.
443. Hutafsiri
visivyo kweli za Mungu--ST 5-13-97.
444. Hutafsiri
visivyo maneno ya maonyo--19MR 122.
445. Huchanganya dini
ya makafiri pamoja na dini ya Mungu--16MR 336.
446. Humdhihaki
Mungu--1SG 153.
447. Giza ya kiroho
ndani yake--(92)GW 433; RH 5-13-84.
448. Jina la Ukristo
tu--1SG 153.
449. Hukataa maonyo
yaliyo wazi kabisa--19MR 381.
450. Hukataa kufahamu
zaidi ukweli--PK 523.
451. Hukataa kufuata
shuhuda za maonyo--13MR 62.
452. Hukataa kufanya
kazi maalum Mungu aliyowapangia--YI 5-14-03.
453. Hawana tofauti
na ulimwengu--EW 273.
454. Hawana hofu ya
Mungu mbele yao--BE 1-15-93.
455. Hakuna sura ya
Kristo inayopatikana ndani yao--GC 390.
456. Hakuna upendo wa
Mungu mbele yao--BE 1-15-93.
457. Hakuna nguvu za
kufanya miujiza ya Mungu ndani yake--12MR 123.
458. Hakuna kizuizi
dhahiri kinachowekwa katika moyo wa mambo ya kimwili--4SP 422.
459. Siyo matajiri
kumwelekea Mungu--COL 258-59.
460. Hawatembei
nuruni--TM 61; RH 9-12-93.
461. Mwanzoni
walikuwa ni uwanja wa kiroho wa Mungu lakini sasa wameanguka kutoka katika
huo--
14MR 152; TM 117; Ev
197.
462. Hufungulia
mlango wa sifa za kishetani--19MR 122.
463. Hutenda kazi
chini ya msonge wa madaraka--GC 59.
464. Hupinga ujumbe
wa malaika wa kwanza--1SG 140; EW 273.
465. Huwapinga wale
wanaojaribu kutunza amri za Mungu--ST 5-13-97.
466. Hupinga kazi ya
nabii wa Mungu--PK 442.
467. Hukandamiza--RC
88; COL 178; EW 275.
468. Huwakandamiza
watu wapendwa wa Mungu--1SG 140; EW 273.
469. Huwakandamiza
wale ambao hawamtumikii Mungu kulingana na mipango yao--YI 11-22-94.
470. Kuvutia kwa
nje--7BC 983.
471. Amri za nje
zinaruhusiwa kuchukua nafasi ya Mungu--GCDB 3-7-99.
472. Hutweza kwa
nguvu--YI 12-13-04.
473. Majaribu ya
kutisha ndani yake--ST 3-4-89.
474. Hupitisha sheria
ambazo zinapingana na sheria za Mungu--YI 10-5-99.
475. Huwataabisha
watu wa Mungu--TM 37; RH 8-22-93.
476. Hutesa--PK 714;
4SP 239; 1SG 146.
477. Huwatesa watu wa
Mungu wanaotunza amri ya nne--GC 603.
478. Huwatesa
watakatifu--GC 382.
479. Huwatesa wale
wanaomfuata Mungu--GC 382.
480. Huwatesa wale
wanaotunza kitakatifu amri kumi--4SP 421.
481. Huwatesa wale
wanaotunza amri za Mungu--GC 603.
482. Huwatesa wale
wanaokataa kufuata desturi na taratibu--LDE 136.
483. Upotofu katika
moyo--PK 530.
484. Hupotosha
injili--BE 2-1-97; RH 3-16-97.
485. Hupotosha
ukweli--YI 2-2-04.
486. Hupotosha ukweli
na kuzuia makusudi ya Mungu--ST 4-29-97.
487. Hupotosha maonyo
ya Mungu--YI 10-11-04.
488. Huweka dharau
juu ya watu wa Mungu--GC 603; 4SP 421.
489. Huweka dharau
juu ya neno la Mungu--GC 603; 4SP 421.
490. Humweka
mwanadamu mbele ya wengine kama kitu cha ibada--13MR 61.
491. Hujiweka wenyewe
upande wa Shetani katika suala--Pam #154, p 59.
492. Hupanga kupanua
ufalme kuliko inavyohitajika--YI 10-11-04.
493. Hupanga kupanua
ufalme ili kupata nguvu zaidi--YI 10-11-04.
494. Hupanga kwa
ajili ya mazuri ya ubinafsi--COL 259.
495. Hupanga
kutajirisha ufalme wao wenyewe kwa hazina za Kanisa la Mungu--PK 346.
496. Hupendeza
ulimwengu--YI 10-25-94.
497. Hupanga kwa
ajili ya uharibifu wa watu wa Mungu--ST 11-4-89.
498. Hufuata dini
ambayo inatawaliwa na mazingira--YI 10-25-94.
499. Hufuata dini
ambayo huacha kanuni nje--YI 10-25-94.
500. Huendesha aina
ya dini rahisi, inayovumilia watu--SD 174; YI 10-25-94.
501. Huhubiri vitu
laini--EW 273.
502. Hujiandaa
kupinga mvuto wa ukweli--21MR 284.
503. Huweka kileo
najisi kwa wengine--RH 5-7-89.
504. Huweka chakula
kilicho najisi kwa wengine--RH 5-7-89.
505. Huleta
hekaya--GC 606; Ev 700.
506. Hujifanya kuwa
Kanisa la Mungu--GC 237.
507. Hujifanya
wenyewe kuwa upande wa mbingu--GC 237.
508. Matapo--YI
9-1-03.
509. Hujivuna katika
hekima yao wenyewe--8T 127.
510. Hudai kufuata
imani ya Kiprotestanti lakini hawaifuati--GC 383.
511. Hudai kuwa
waliochaguliwa na Mungu--EW 273.
512. Hudai kufuata
kweli za Mungu--GC 382.
513. Kujitapa kwa
dini hufunika uovu wa kutisha ndani--4SP 422.
514. Ufujaji wa
mali--YI 8-17-99.
515. Maendeleo ya
mamlaka ya upapa ndani yake--GC 606; Ev 700.
516. Hukataza
kuhubiri injili safi--PK 714.
517. Huahidi mema kwa
wale wanaowatii wao--7BC 983.
518. Hutabiri vitu
laini--GC 606-07.
519. Wanalindwa na
mto Frati--PK 523.
520. Huadhibu kwa
kifo wale wasiotii amri zao--14MR 91.
521. Huadhibu kwa
kifungo wale wasiotii amri zao--14MR 91.
522. Huvutana na wale
walio katikati yao ambao wanashikilia ukweli wa Mungu--1SG 146.
523. Husukumia nuru
ya ukweli mwanzoni--BE 2-1-97; RH 3-16-97.
524. Humweka
mwanadamu mahali pa Mungu--UL 35.
525. Huwa na hasira
dhidi ya wale wasiotii amri [zake]--ST 9-2-97.
526. Ukaidi--ST
11-14-95; YI 8-17-99.
527. Hupokea
madanganyifu makubwa--4SP 239.
528. Hukataa nuru ya
ujumbe wa marejeo--GC 389.
529. Hukataa ujumbe
wa ukweli--2SM 68; 1MR 361.
530. Hukataa
ukweli--1MR 302, 361; 2SM 68.
531. Hukataa kufanywa
upya katika tabia--21MR 284.
532. Hukataa kufanywa
upya katika imani--21MR 284.
533. Hukataa kuacha
dhambi kwa haki--13MR 63.
534. Hukataa kutupilia
mbali kiwango cha Shetani--ST 11-14-95.
535. Hukataa kutii
sheria za Mungu--RH 2-6-1900; ST 5-13-97.
536. Hukataa kupokea
ujumbe wa malaika wa kwanza--EW 273.
537. Huwachukulia
watu kuwa bora zaidi ya Mungu--YI 4-7-08.
538. Hukataa ujumbe
wa malaika wa kwanza, wa pili, na wa tatu--1MR 361; GC 390.
539. Hukataa nuru
kutoka mbinguni--ST 7-27-91; 1SG 140, 146.
KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NASI
0756959525,0752164685
KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NASI
0756959525,0752164685
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni