Nataka wanaume wasalishe kila mahari……. Huku wakiinua mikono iliyotaka……………simpi ruhusa mwanamke kufundisha wala kumtawala mwanaume………..1Timotheo 2:8-12, Mwanzo 3:16-17
Kanisa lolote linalowaweka wanawake kuhuibiri
mimbarini ni kuinua ibada ya Tamuzi na kuiharalisha, Nabii Ezekieli alipoona
machafuko kama hayo alishangaa sana.Mungu
alimwambia utaona makubwa zaidi ya hayo.
“ndipo akanileta mpaka mlango wa kuingilia katika
nyumba ya BWANA ulioelekea upande wa kaskazini na tazama, wanawake wakimlilia
Tamzi”Ezekieli 8:14,Nehemia 8:4
Tangu mwanadamu alioumba, mwanaume ndiye aliye
kabadhiwa madaraka.wakati Adamu anakabidhiwa ukuhani,na madaraka, “mungu
alimwambia matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile.MWANZO 1:16 siyo
msile kwa Hawa akizungumza na nyoka alijibu usile.MWANZO 3:1HATA kazi ya
uongozi alikabidhiwa mwanaume ,na ndiye aliye waita viumbe majina MWANZO
2:20……… Kanuni hiyoaliichagua Mungu mwenyewe sisi hatuna ruhusa, kuhoji au kulekebisha
mpango ulowekwa na MUNGU tangu zamani, mimbari imekuwa ikitumiwa na wanaume
.1Wafalme8:54, 2 Nyakati6:12-13.
MIMBALI
IPO HADI LEO?
JIBU “wengi
watasimama katika mimbari zetu wakiwa wamenyanyua mienge ya unabii wa uongo
mikononi mwao” Matukio 165 .TM 409, 1411, 1898.Ieleweke kwamba kunatofauti kati
ya mimbari na huduma za patakatiifu
I.
Mimbari ni mahari ambapo wafalme ,waamzi,makuhani
na viongozi wote waisraeli walikuwa , wakiwafundisha watu na kutoa maelezo
jinsi watu wanavyopasa kumtumikia Mungu, Luka 4:16,Matendo 2:14.
II.
Patakatifu waliruhusiwa makuhani pekee
yao tu.Mfano chumba cha pili cha patakatifu
pa patakatifu aliingia kuhani mkuu
pekee yake Walawi 16:1-34 kutoka
sura ya 25 na sura ya 29.
Mimbari
ndio ofisi takatifu kwa ajili ya makuhani
wa leo ,lakini wanatakiwa watu kama kalebu,walio
majasiri
kwa watu wanotambua ukweli kutoka kwenye makosa TM 407.
“Wachungaji
na wazee wa makanisa wameitwa kwa kazi
ya ukuhani wa leo wanapaswa kuanza kazi hiyo katika familia zao ambayo ni
makanisa madogo”2T 620 1Timotheo 3:1-7
“Wachungaji
na wazee wameitwa kwa kazi ya ukuhani wa
leo kutoa kafara ya kiroho”FE 461 Tito 1:5-8
“Siyo
kila mtu anaweza kuwa mwalimu wa Neno la Mungu kwenye Mimbari” 4T118
“hakuna
mtu anayefaa kusimama katika mimbari takatifu.Mpaka awe ametakaswa na kuguswa
na Neno la Mungu katika moyo wake. 4T526.
“Mpaka
ambayo neno la Mungu liliweka kwa ajili ya watu wa Mungu imevunjwa na kuanguka
chini. Wale ambao walikuwa wanafahamu njia ambayo Mungu amewaongoza watu wake
kwa wakati uliopita .baada ya kuuliza mapito ya zamani na kuutetea msimamo wetu
kama watu wapekee wameonyesha mikono yao kushikamana na dunia.sauti ya maonyo
yamenyamanzishwa.Macho ya watu wa Mungu yametiwa giza wakati huo kanisa
likienda mbio kwenda duniani” 4T uk. 513.
Hatuna
shaka tunapoona mambo yanayotokea duniani yakipenya na kuingia kanisani na
kutolewa kwa nguvu,ni kwa sababu viongozi ambao wangeongoza watu kupitia katika
njia ya ulimwengu.
KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NASI
0756959525,0752164685
0756959525,0752164685
kwani mimbari ina maana gani?
JibuFuta