Elimu ya kweli ni ufunuo wa tabia yake na uwezo wake na kazi ya
kuonyesha kuwa kila kiumbe kimeubwa na
Mungu na kutangaza utukufu wake. ZABURI 19:1- 7, ISAYA 37: 16, 46:5, 44: 6, 46 :9
Kila kiumbe kiliumbwa na yeye
mwenyewe malaika mwanadamu ni kazi ya Mungu AYUBU
38:5 – 7, MWANZO 1: 26 -27
Hivyo hukanusha masomo ya nadharia za watu,
zinazofundishwa kuwa dunia ni kipande kilicho meguka kwenye mwezi, huu ni
uongo, Mungu aliumba dunia, na mwezi nyota, jua vyote ni kazi ya Mungu.
MWANZO 1: 1- 5, 14 – 19 ,
ISAYA 66:2, AYUBU 36:26 .
Hivyo tunakanusha uvumi wa
kusema kwamba vitu hivi vilitokea tu .
Pia mwanadamu naye ni kazi ya Mungu aliumbwa hakuna kiumbe kilichotokana na
kingine .
MWANZO 2: 7 ZABURI 139: 23 – 25, 8: 3-
9.
Hii ndiyo Elimu ya kweli ya kujua
kazi ya Mungu kama mwanzo wa vitu vyote,
na ukuu wake na mamlaka yake ya uumbaji, hata hivyo tuelewe kuwa mwanadamu aliumbwa na si uibukaji kama wengi
wanavyoelewa .
Ni mhimu sana
kujifunza kuujua mwili wetu na kujua kila kiungo kinavyofanyakazi tena kwa
kushirikiana na vingine . Wengi wamekuwa walemavu wa viungo, na wengine kufa kwa kutumia viungo vyao vibaya 1 WAKORINTHO
6:12 – 20
Ni wajibu wa kila mtu, kwa ajili yake
mwenyewe, na kwa ajili ya watu wengine, kujua kabisa kanuni zinzohusiana na
afya njema, na kuzifuata kwa bidii na uaminifu.
Inawapasa wote kufahamu kabisa umbo hili la ajabu – yaani mwili wa
mwanadamu. AFYA NA RAHA UK 10, 39 – 42.
Uasi wa sheria za mwili ni
uasi wa sheria za maadili kwa maana kwa hakika Mungu ndiye mwanzilishi wa
sheria za mwili. Kama alivyo mwanzilishi wa
sheria za maadili. Sheria yake
imeandikwa kwa kidole chake na kwa kila mshipa wa fahamu kwa kila msuli na kwa kila uwezo wa akili na mwili, ambao
umewekwa kwa mwanadamu. VIELELEZO VYA
MAFUNDISHO YA KRISTO,: UK 268 KUTOKA
31 : 18
Mvuto wa akili kwa mwili, Pia ule wa mwili kwa akili,
zitiliwe makazo. Nguvu ya umeme ya akili ikitiwa nguvu na shughuli za kiakili,
hutia nguuvu mfumo wote hivyo huwa msaada wa thamani sana katika kukinga magonjwa. ELIMU YA KWELI UK 144 -147
Unapojifunza jinsi mwili unavyofanya kazi, uzingatiaji
makini uelekezwe kwenye uwezo wa kubadilika na jinsi viungo vinavyotegemeana.
Kadri moyo wa kupenda kwa mwanafunzi utakavyoamshwa na kuongozwa na kuona umhimu wa elimu ya
kukua na kukomaa kimwili, mwalimu
atafanya mengi kusaidia kukua ipasavyo na mazoea sahihi. Miongoni mwa mambo
ambayo yapaswa kulengwa kwanza lingekuwa
hali sahihi katika yote mawili kukaa na kusimama. Mungu alimuumba mwanadamu
mnyoofu na anapenda awe siyo tu na yale ya kimwili, bali faida za kiakili na
maadili. ELIMU YA KWELI 145.
MHUBIRI 7:29
INI,
LIVER NATURAL REMEDIES UK.
357- 58, 361 – 62
- Ini ni kiungo muhimu sana ndani ya mwili wa binadamu. Ini hufanya kazi ya kutengeneza protini kuondoa sumu ndani ya damu na kusambaza kiwango cha damu inayohitajika kila sehemu ya viungo vya mwanadamu na kupambana na kinukari za sumu zinazoingizwa mwilini.
Ini seli nyekundu za damu zilizokufa.
Hugeuzwa na ini kuwa pigmenti za
nyongo ambazo huipa nyongo rangi yake. Pigmenti hizo huingia kwenye chakula
njia ya chakula na baadaye kuchanganyika na kinyesi. Ini pia hupambana na sumu
zinazongia mwilini. Simu zinapozidi uwezo wake hulifanya ini kusinyaa, na
kushidwa kufanya kazi vizuri na kusababisha makovu. Ini linapokuwa limeathilika
namna hiyo, hushindwa kufanya kazi zake za kawaida kama
vile kutengeneza (Protein) na kuondoa sumu
ndani ya damu na hivyo husababisha shinikizo la juu la damu ndani ya
mishipa ya damu.
Uvujaji wa damu ndani kwa ndani
kunaweza kutukea na pia mkusanyiko wa maji ndani ya tumbo na tumbo kuvimba.
Vitu vinavyoharibu ini na
kulifanya lishindwe kazi vizuri
Ø Kula
chakula kisicho na virutubisho nafaka zilizokobolewa.
Ø Matumizi
ya nyama, kahawa, majani ya chai, pombe, uvutaji wa hewa yenye sumu
Ø Samaki
kwa mtu anayetumia samaki kwa wiki mara 2 huzuia utendaji kazi wa mafuta ya ini
Ø Kutumia
vidonge, sukari, soda, juisi, chakula chenye sumu pia na homa ya njano. WALAWI
3:4 -11
TIBA
Ø Tumia
kwa wingi matunda ya apples
Ø Celery
chukua kijiko kimoja weka kwenye glasi moja ya maji ya moto kunywa 2x2 kwa siku
Ø Tumia
chai ya Rosemery
ACHA KUTUMIA
Nicotine, alchohol, caffeine,
fishi, fowl, meat, salt, soft drinks, sugar foods, lea NK
KIDNEY PROBLEMS – MATATIZO YA FIGO
NATURAL REMEDIES UK
397-398
- Figo au mafigo ni viungo vinavyohusika kuchuja maji ndani ya mwili na kuyabala nsi yakae kwenye uwiano ulio sawa. Kiungo hiki (viungo) kina ushirikiano mkubwa sana na kibofu cha mkojo. Mafigo yanaposhindwa kufanya kazi vizuri husababisha matatizo ya kuvimba miguu, kujaa maji sehemu ya malengelenge ya maji sehemu yoyote ya mwili hata yasipotakiwa kuwepo.
Figo ni ogani iliyo nyuma ya
fumbatio figo linaumbo la harangwe.
Kuna fiigo mbili moja upande wa kulia na la
pili upande wa kushoto wa uti wa m gongo, kwenye kila
M,WALAWI 8:16
figo kuna mshipa
unaingia na kutoa. Ule unatoka huitwa vena ya renali, na ule unaingia huitwa
ateri ya renali. Damu kuingia kwenye
figo kupitia ateri za renali figo huchuja damu inayoingia na kuondoa urea,
chumvichumvi na maji ya ziada.
Taka mwili zilizochunjwa na figo husafilishwa
kwenda kwenye kibofu kupitia ureta.
Ureta ni mlija
utakao kwenye figo hadi kwenye kibofu cha mkojo. Kazi yake ni kupitisha mkojo
toka kwenye figo hadi kwenye kibofu, Kibofu cha mkojo ni mfumo unaokusanya
mkojo kutoka kwenye figo. Baada ya kibofu kujaa, misuli yake husinyaa na kuusukuma
mkojo nje kupitia ureta.
VYANZO
Ø Kula
chumvi mbichi
Ø Vinywaji,
pombe, soda, juisi
Ø Kuunga
chumvi mbichi kwenye chakula yaani kuongeza chumvi
Ø Mawe
ndani ya mafigo
TIBA
ACHA KUTUMIA
Soft drinks, caffeine, chocolate,
cocoa, pepper, Nuts, nyama, chumvi.
BANDAMA
SPLEEN NATURAL REMEDIES UK 2102
- Bandama ni kiungo muhimu sana kwa mwanadamu pia kuingo aina ya nyama kinachohifadhi damu na kutunza kama alivyo kwa viungo vingine. Kiungo hicho hushirikiana na viungo vingine. Kiungo hiki kikiungua au kupata matatizo ni hatari.
KONGOSHO
4. Kongosho ni kiungo pia muhimu kwa kutengeneza kiwango
cha sukari inayotakiwa mwilini kinapaswa kutunzwa kwa makini sana. Kongosho inapozidiwa na kazi yake
husababisha sukari kusambaa mwilini na mtu kupatwa na ugonjwa wa kisukari.
Dalili za kuonyesha kongosho halifanyi ni
Ø Ugonjwa wa kisukari
Ø Kupungua uzito
Ø Kukonda kwa haraka sana
Ø Kukojoa san, mkojo wa mara kwa mara
Ø Mkojo wa sukari sukari
Vyanzo vikubwa
Juisi
za viwandani, soda, chumvi, sukari, nyama, mayai, apple, ndizi, maziwa, sigara,
pombe, tikiti maji, na jamii ya vitu vyenye sukari
Mtu
anayetumia soda x2 kwa wiki husababisha kansa ya kongosho.
- NYONGO BILE DUCT MFEREJI WA NYONGO GALL BLADER- KIBOFU NYONGO
Nyongo ni kiungo kinachozalisha tindi kali (URIC ACID) inayowekwa kwenye chakula
kabla ya kuyeyushwa kama kund wadudu chakula hakiwezi kuyeyushwa kama nyongo haijadondosha, tindi kali kwenye chakula.
Viungo hivi hufanya kazi kwa kushirikiana na kila kiungo kwa kazi ya na
utaratibu kula kwa wakati usio badilika na moja ya kutunza kiungo hiki na
kukifanya kifanye kazi vizuri na kutokula ovyo ovyo.
Mojawapo ya
madhara yanayotokana na kula bila utaratibu. Madonda ya tumbo. Kuchacha kwa
chakula tumboni, kuharisha, kutapika, hewa chafu, tumbo kujaa gesi, kukosa hamu
ya chakula.
- STOMACH – TUMBO MFUKO WA CHAKULA NATURAL REMEDIES UK 355
Tumbo ni kiungo muhimu kwani hupokea chakula
kinachotoka mdomoni na kukifinyanga (kuyeyusha) kiungo hiki ni kimeumbwa kwa
muundo wa taulo ni muhimu sana kukitunza kiungo hiki kazi yake ni kubwa na
nzito. Chakula kinacholiwa hakiwezi kuingia kwenye mfuko wa chakula huanzia
kwenye kiungo hicho baada ya kukifinya mpaka kwenye utumbo mpana, madhara
waliyonayo watu wengi ni kwa kula vibaya na kunywa vibaya yamekifanya kiungo
hiki kuwa dhaifu na mengi ku la bila utaratibu, kula na kunywa maji. Wengi hunywa vinywaji vikali sana kiasi kwamba
vinatoboa utumbo na kutokuwa na kiasi katika kula. Iwako 10:23
Isaya 55:2
(Wak 6:12 – 13, 19- 20
Madhara Taifodi husababisha madonda ya tumbo, mawazo,
Amiba aina zote za minyoo kwani hutoboa utumbo na kushiba sana.
Pombe, majani ya chai, sigara, juisi za kemikali na
soda unga uliokobolewa na vyakula vya kuangiza nyama zaburi 18:27- 33 zaburi
106:15
Ili kutunza kiungo hiki ni vema kula chakula cha asili
na juisi za nanasi, apple, machungwa, papai, embe nk na mboga za majani zaburi
104:13- 15 Ayubu 28:5 Zaburi 136:25, 147:8-9 Ayubu 38:41
- INTESTINE UTUMBO MPANA NA MWEMBAMBA
Utumbo
mpana na mwembamba hufanya kazi kwa pamoja kazi kwa pamoja baada chakula
kuingia na hutoka kwenye tumbo na kufyonzwa na utumbo mpana hapo hufanyika kazi
ya kuchambua vitamini na madini na virutubisho protini inayohitajika mwilini
hapo ini linahusika kongosho na kama chakula kina maji kazi ya kuchuja maji na
mafigo pia huhusika ubongo huratibu shughuli nzima ya uyeyushaji kwani kwani
huamrisha viungo vyote shughuli hii huchukua takiribani masaa 4-6 kulingana na
aina ya chakula.
Mucous membrane -
Kiwamba ute sehemu ya kiwamba cha seli inayozunguka mfereji wa chakula.
Sehemu
ya chakula kinacholiwa, humeng’enywa na
kusharabiwa mwilini. Sehemu iliyobaki ambayo ni chakula ambacho
hakikumeng’enywa na kusharabiwa mwilini, husafilishwa hadi kwenye utumbo mpana. Mabaki hayo ambayo yamechanganyika na
pigmenti za nyongo hutolewa nje kama kinyesi.
Chakula
kilichosharabiwa mwilini huchanganyika
na kemikali kuzalisha nishati. Baadhi ya dutu zinazotokana na
mchanganyiko huo hazina manufaa kwa mwili . Dutu hizo huitwa takamwili ambazo
ni pamoja na kabonidayoksaidi, kompaundi za natrojeni, maji na pigmenti za ini.
Ogani
zitumikazo kutoa taka mwili ni mapafu, figo, ngozi na ini.
Baada
ya vitamini, madini, protini na vitu muhimu kuchuliwa na kubaki makapi
husafirishwa kwa njia ya utumbo mwembamba (mrefu) hadi kwenye lango la haja
kubwa na mtu kujisaidia Marko 7: 18- 20
kwa muda huu wa masaa 4- 6 mtu hatakiwi kula chochote mpaka baada ya masaa
6 5-6 kula ndani ya masaa haya ni
kujiletea magonjwa mengi sana sana.
- BLADDER – KIBOFU CHA MKOJO
Kibofu ni kiungo mfano wa bilika kazi yake ni kutunza
na kuhifadhi mkojo, maji baada ya kuchujwa vizuri na figo maji taka hupelekwa
kwenye kibofu kupitia milija
inayounganisha figo na kibofu au bilika.
Maji taka yanapofika kwenye birika husafirishwa kwenye
mishipa hadi kwenye,uume, uke kisha
maji hayo humwagika nje, au kutoka nje
hutwa kukojoa, paa hapa kuwa na kiungo
kidogo kama mfumo wa (mashine engine ) inayosukuma mkujo kubana
mkojo kwa muda mrefu bila kukojoa huathiri kibofu (birika) na kuuwa mashine ya
kusukuma mkojo otoke nje .Madhara haya
huenda na kuharibu mafigo.
Kutumia vinywaji vikali, juisi, soda, pombe, viroba nk
ni kuuwa mashine ya kibofu cha mkojo. Madhara yake ni:-
Ø
Kupasuliwa
Ø
Kuwekewa mpira wa
kukojolea
Ø
Kushindikana
kabisa
Ø
Kifo
Ni
vyema kuthamini viungo vyetu kwani ni zawadi tuliyopewa na Mungu 1WAKORINNTHO 12:12-26
- REPRODUCTIVE: WOMEN MFUMO WA UZAZI WA MWANAMKE, NATURAL REMEDIES UK. 640
Mfumo wa uzazi wa mwanamke ni moja kati
ya viungo muhimu na nyeti, kwa kazi uzalishaji watu au kuzaliana mwanzo 1:28,
4:1.
Huu
ni mfumo ambao Mungu aliumba kwa ajili ya kuendeleza uzao wa mwanadamu ili watu
wasingie katika swala la kujamiana, kabla ya ndoa. Waebrania 13:4 Mathayo
19:4-6 kwa maneno hayo tendo la ndoa
kabla ya kuoa au kuolewa ni kosa la jinai mbele za Mungu katika hili Mungu
akataza yafuatayo.
Ø
Kuharibu ubikira
torati 22:20-21, 17c 4-7
Ø
Kufanya tendo
kabla kuowa au kuolewa ni dhambi Walawi 21:7 na mume wake mwenyewe wako 7:1
Ø
Wasiingie kwa
jamaa wako wa karibu. Walawi 18:6-18 torati 27:20, 22-23
Ø
Magomvi na mauji
na mafarakano
Ø
Usingia kwa mke
wa mwingine Walawi 20:10
Ø
Masumbufu na
majuto
Ø
Ndoa jinsia moja
ni laana Walawi 18:22
Ø
Kulala na kiumbe
Walawi 18:23 torati 27:21
Ø
Usilale na
mwanamke ikiwa kwenye siku zake Walawi 18:19
Hivyo Mungu alikusudia ndoa iwe
baina ya mme na mke.
Mfumo wa via vya uzazi vya mwanamke
ni kama ifuatavyo
Ø
Ovari (2) mirija
ya falopia, uke ovari hutoa mayai au kuzalisha gamete uke mwanamke ana ovari
mbili moja chini ya kila figo Walawi 12:2, 15:19, 25
Ø
Mrija wa falopia
husafirisha gameti uke kutoka kwenye ovari
Ø
Uterasi mji wa
mimba ni mahari ambapo kitoto hutunzwa na kukua hadi kuzaliwa.
Ø
Seviksi- kilango
cha uterasi mlango au misuli mviringo ya seviksi.
Ø
Uke – ni sehemu
ambayo mtoto hutoke wakati wa kujifungua
na ndipo na mbegu za kiume gamete ume hupitia wakati wa kujamiiana na
kutoka nje ya mwili.
Kuziba kwa husababisha madhara ya kukosa
mtoto, siku za hedi maumivu makali kama zikitoka wakati mwingine damu hutoka kidogokidogo na kuleta maumivu
makali sana,
wakati mwingine mhusika anaweza kuzimia na kufanya zinaa kinyume na utaratibu.
Matatizo mengine ni kama kansa ya kizazi.
Baadhi ya vipodozi ni hatari huleta madhara makubwa, kula vibaya, kuvaa vibaya
wengi wamepata ugumba (tasa) kwa kujiletea wenyewe au wazazi wao Torati 7:14,
28:18 na mimba kuharibika kutumia dawa za nywele na kilimu ni hatari dawa za
nywele huharibu vitamini c sumu kilimu huleta saratani ya ngozi.
- REPRODUCTIVE: MEN MFUMO WA UZAZI WA MWANAUME NATURAL REMEDIES UK 634
Mfumo
wa uzazi wa wanaume ni kuzaliana na kuongeza watu duniani Mungu alimuumba
mwanaume na mwanamke mwanzo 1:27 watu huzaliana kwa njia ya kujamiana kwa
mwanaume/mke Wakorinntho. Mfumo wa mwanaume
Ø
Korodani,
korodani hutengeneza na kuhifadhi gamete za kiume, korodani hutengeneza homoni
inayosababisha wakati wa kubalehe (korodani) Walawi 212
Ø
Mirija ya manii,
mirija ya manii hupitisha gameti za
kiume kutoka kwenye korodani kwenda kwenye uume na kutoka nje. Ayubu 10:10
Walawi 15:16-18
Ø
Uume, kwenye uume
kuna mrija uitwao urethra ambao hupitisha manii
1. VIUNGO VYA KICHWA (HEAD
SYSTEM).
1. UBONGO NERVOUS SYSTEM
A. Colebrum - ubongo wa mbele
B.
Celebelem – Ubongo wa kati
C. Medulla
Oblangata – Ubongo wa nyuma
“Sikiliza,
Ee Israel; Bwana, Mungu wetu, Bwana ndiye nawe
mpende Bwana Mungu wako, Kwa
moyo wako wot, na kwa roho yako, na kwa nguvu zako zote”. K. TORATI 6:4 -5
“Linda
moyo wako kuliko yote uyalindayo maana ndiko zitokako chemichemi za uzima” MITHALI
4:20 -23
“Mimi ni Mungu wa Ibrahim, na Mungu wa
Isaka, na Mungu wa Yakobo? Mungu sio Mungu wa wafu, bali wa wawaliyo hai” MATHAYO 22:32
A.
Ubongo wa mbele au ubongo mkubwa. Sehemu hii
inahusika na utawara wa
matendo
yote ya hiari hasa yale yanayo husiana na kufikiri, Busara na kumbukumbu.
Sehemu hii pia huhusika na kuona, kusikia, kunusa na kuonja.
B.
Ubongo wa kati au ubongo mdogo : Sehemu hii
huratibu mijongeo katika mwili, sehemu hiyo ndiyo inayohusika na kuweka mwili
uwe katika hali ya msawazo kiumbo.
C.
UBONGO WA NYUMA – MEDULLA OBLANGATA.
Sehemu
hii hutawara matendo yote yasiyo ya hiari katika mwili, kwa mfano, kupumua,
mapigo ya moyo, kutanuka na kusinyaa kwa mishipa ya damu na mmeng’enyo wa chakula katika njia ya chakula .
Sehemu
iliyo kubwa, tata na yenye kazi nyingi zaidi ya ubongo mkubwa. Uso wake
umekunjamana sifa ambayo huongeza eneo lake.
Uso wa ubongo wa nyuma ndiye sehemu ya chini zaidi ya ubongo na
imeunganishwa na ubongo wa kati na ugwe mgongo. Mithali 17:2-22, Mithali 16:23,
Mithali 15:13 – 15 Mithali 3:8
2. MACHO - EYE.
Jicho hushikiwa kwenye nafasi yake kwa misuli. Misuli
hii huuweza kuzungusha mboni ya jicho kwa ajili ya kutazama sehemu mbalimbali.
Kuna Neva moja itwayo neva ya Optike inayo unganisha jicho na ubongo sehemu kuu
za jicho ni:
Lenzi -
hupanuka na kusinyaa ili kufokasi taswira ya kitu kwenye retina
Retina - hupeke
nuru na kuunda taswira ya kitu
Mboni – Pupili ni shimo katika mboni
Konea -Ni
sehemu ya mbele inayowezesha kuona miale
ya mwanga kupenya
Mucus in eye:Ute ute aina ya kemikali zinto inayoteleza
inayotokana na tezi ute yenye kazi ya kulinda tishu za tabaka –nje zisikauke,
na pia kuzuia viumbe na maradhi visidhuru jicho.
“Macho yako yatazame mbele, na kope zako zitazame
mbele yako sawasawa. Ulisawazishe pito
la mguu wako, na njia zako zithibitike, usingeuke kwa kuume wala kwa kushoto;
ondoa mguu wako maovuni”, MITHALI
4:25-27
“Nilifanya agano na macho yangu; basi nawezaje
kumuangalia msichana? AYUBU 31: 1, 16:
9-10, ZABULI 121: 1, 123: 1- 2
Eye strain
- Uchovu wa macho , Computer eyestrain – ucovu wa kokotoa macho
Mucus
in eye – uteute wa jicho, Yellow eys-
macho ya njano, Puffy eyes (Bags undrs eyes) -
mpumuo uhemaji wa mfumo wa macho, Itchy eyes - Mwasho wa macho, red eyes (Blood shol eyes)
macho mekundu au damu kwenye macho
Black
eyes – Macho meusi. NATURALA REMEDIES UK 301
3. PUA
Pua zina seli zenye uwezo kuhisi kemikali .Kuna seli
zinazotoa, kamasi ambalo lina unyevu kemikali zinazoyeyeshwa na unyevu huu hushitua seli hizi na kupeleka
taarifa kwenye ubongo. Pia pua huhusika na mfumo wa upumuaji kutoa hewa nje na
kuingiza ndani kwa kushirikiana na mapafu na sehemu nyingine zenye matundu
.Mwanzo 2:7
4.
ULIMI.
Ulimi unaseli onji ambazo huonja na kuamua kama kiti ni kitamu, kichungu au chenye chachu. Pia ulimi
unamsuli unazungusha nma kuufanya uwe na uwezo wa kumuwezesha mtu kutoa
matamushi au tamushi .Pia ulimi umo ndani ya mdomo. Mithhali 4: 24, Mithali 6:2 Hata meno Zaburi 37:12.
“Nalisema nitazitunza njia zangu nisije nikakosa kwa
ulimi wangu; nitajitia lijamu”..............ZABURI 39:1-3
“Vivyo hivyo ulimi nao ni kiungo kidogo, nao hujivuna
majivuno makuu........... YAKOBO 3:5
5. SIKIO -EAR.
Sikio
ni ogani ya kusikiliza na kusawazisha kuna migawanyo mitatu mikuu.
v
Sikio la nje –
Sikio la nje hukusanya sauti
v
Sikio la kati –
Sikio la kati lina hewa na dirisha lenye umbo la yai ambalo huelekea kwenye
sikio la ndani .
v
Sikio la ndani –
Katika sikio la ndani kuna koklea ambayo huhisi sauti itakanayo na mitetemo kwa
kutumia neva ya akausteka.
“Mwanangu,
sikiliza maneno yangu; tega sikio lako, uzisikie kauli zangu.... MITHALI 4:20 -24
6. MENO .
Meno teeth meno ni viungo pia mhimu kwa ajili ya kazi
kutafuna wakati wa kula ni vema kuyatunza meno . Mtahayo 22:13 meno hushikiliwa na misili aina ya
miziz, au nyuzinyuzi. Nyuzinyuzi hizi
zinapopata hitirafu mtu hupatwa na tatizo la usafi wa meno ni mhimu kwa ulinzi,
na kula vyakula vyenye virutubisho.
Wengi wanaopatwa na ugonjwa wa meno ni wale,
wanatumia, pipi, barafu, au vitu vya baridi
soda, pombe, ugoro, sukari, nyama maana nyama inapoliwa nyuzi nyuzi za nyama hepenya nyufa za maunganishio ya meno, wengi
huchokonoa kwa njiti, au mti vyote
hivi ni vyanzo vya matatizo ya
meno
“Amenilalua katika gharabu zake,na kunionea;
amesaga-saga meno juu yangu; AYUBU 16: 9, 5-8
- MFUMO WA KIFUA.
a.
MOYO - Unafanya kazi
ya kusukuma damu au kupampu. Na damu kuzunguka mwilini, kazi ya moyo ni ya mhimu maana kiungo hiki ni cha
thamani kwa maana katika viungo hiki ndicho kiungo kisicho pumzika kinafanya
kazi tangu kuumbwa kwa mtu hadi kifo ni yetu kukitunza . Pia unamishipa
midogo ya kusafilisha damu pia moyo unapampu mbili.
1.
Upande wa juu – Pampu hii inasukuma damu kwenda juu
kwa kushirikiana na mapafu kunyumbua
2.
Nyingine upande
wa chini- Hii pampu hizi zinapo shindwa
kufanyakazi magonjwa ya presha ya kupanda – kushuka kutumia vyakula vyenye
vichocheo huleta kiherehere cha moyo, moyo kupanuka, mafuta kwenye mishipa ya
damu ya moyo. Moyo kushindwa kufanya kazi, acha kutumia singira, sukari za
viwandani, na juisi chumvi bichi, nyama, samaki pombe, mavazi ya kubana mwili, viatu vyenye kisingino kilefu sana, sembe, ngano iliyokobolewa,
na isiyo ya asili.
“Maana
wewe ndiwe uliyeniumba mtima wangu, ........ Zaburi 139:13
Presha ya juu, Presha ya chini, Kupanuka kwa moyo,
Kusinyaa kwa mshipa ya moyo, Mafuta kwenye mshipa ya moyo, Kiherehere cha moyo,
Kuziba kwa pampu ya juu ya moyo, Kuziba kwa pampu ya chini ya moyo.
b. MAPAFU.
Mapafu hufanya kazi ya kuchunja hewa na mapafu kunyumbuka.
Kazi ya kuondoa hewa chafu, na kuunda mfumo kwenye mfumo wa hewa safi. Na kuondoa uchafu kwenye mfumo hewa, mavumbi,
moshi, na mazingira yenye hewa chafu n.k
Inashirikiana na sehemu zenye matundu ya mwili, na
mfumo wa ngozi. Pia mapafu yana mishipa aina ya tawi na mfumo wa nyuzi nyuzi.
Mapafu yanaposhindwa kufanyakazi mtu hupata tatizo la kupumua kwa shida na
kufanya kazi ya moyo kuwa ya shida sana Huduma ya
uponyaji uk
165.
Kukohowa, Madonda kooni kuziba kwa mirija ya mapafu.
Ni vema mtu kukaa mahali penye hewa safi
na kujenga nyumba zenye madirisha ya kuingiza, hewa, na mwanga wa jua. Kutumia
sigara majani ya chai, kahawa ni hatari sana,
na kutumia aina ya vinywaji vikari vyakula vyenye vichocheo ni hatari pia. Habakuki 2:15- 16, Isaya
5:11- 12 .
kwa
mfano magonjwa
1.
Saratani ya
mapafu,
2.
Athima (Pumu)
3.
Kupumua vibaya
4.
Kuvimba mishipa
5.
Madonda kooni
Pia
kuvaa nguo za kubana kifua husababisha tatizo la moyo, Kutayarisha
- KIWAMBA MOYO DIAPHRAGM
Kiungo
hiki huunganika na vena cava kwa umbo la mfano wa misitari ya mikononi kiungo
hiki na viungo vingine huninginia kwneye
kiungo, kama vile moyo, mapafu, mafingo kwenye
kiungo hiki huanganisha mishipa
yote mikubwa inayosfili kwenye vidole vya mikono na minguu. Huungana sup, vena
cava. Na inf vena cava. Na renal
inayounganisha figo ya kulia na vena
cava na upande wa kushoto .
- MFUMO WA MIFUPA NA VIUNGO VINGINE KWA UJUMLA .BASIC ANATOMY.
Huu
ni mfumo unajumuisha mbavu, mapaja
miguu, mikono, mafuvu, vibandiko vya aina ya parastiki, vinavyofunga kama vile mabega, sehemu za siri, kwa jinsia zote.
Mungu
alimumba mwadamu kwa ustadi mwanadamu ni
kazi ya Mungu. Zaburi 100:3, Ayubu 10:8 -9, Isaya 45: 9 -10, Ezekiel 37: 4- 9.
Skull
– Fuvu la kichwa
Spine
– Uti wa mgongo
Humenus
– Mfupa kubwa utakao begani hadi kwenye mkono
Nyonga
Tezi
za ovari ziko katika nyonga ya mwanamke
ziko tezi mbili za ovari.
Paji la uso.
Uso
ni sehemu ya paji likionyesha muonekano wa mtu.
1.
Kama mtu amekasilika
au kuwaza uso hukunjamana kuonyesha hari ya mtu isiyo ya kawaida, mwanzo 4......hasira gadhabu, mithali 15:18 .
2.
Uso wa mtu mwenye muunekano wa faraja huu ndio uso
wenye afya mithali 15:13, Mithali 14:30, Mithali 15:30
EMASON KEFASON
PHONE NUMBER:0756959525 0756959525,0752164685
EMASON KEFASON
PHONE NUMBER:0756959525 0756959525,0752164685
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni